Sunday, October 28, 2012

SEHEMU YA PILI YA JACKSON AKIUAGA UKAPELA USIKU HUU UKUMBI WA CHIKAGO BEACH

AHSANTE BABA....

BABA MZAZI WA JACKSON KALUMUNA AKIJISIKIA FAHARI KUBWA BAADA YA KUONA MTOTO WAKE AMEFUNGA NDOA HAPO ANAMPA HONGERA JACKSON KWA MAELEZO ZAIDI NI KUWA BABA YUPO UPANDE WA KUSHOTO NA JACKSON KALUMUNA YUPO UPANDE WA KULIA

UZEE HAUZUII FURAHA ..... BABA YAKE MZAZI NA JACKSON KALUMUNA AKIWA ANACHEZA NGOMA YA KIHAYA KWA FURAHA SANA BAADA YA MTOTO WAKE JACKSON KALUMUNA KUPATA MWENZA WAKE

KAMA UNAJUA KIHAYA OTEA WIMBO GANI UNAIMBWA HAPA: MAMA MZAZI JUDITH KATIKATI AKIWA ANACHEZA NGOMA YA KIHAYA IKIWA NI KATI YA FURAHA BAADA YA AMBAYO IMETOKANA NA JACKSON KUZIKUTANISHA FAMILIA MBILI TOFAUTI

KAKA WA MLIKI WA MTANDAO HUU, AKIWA KATIKA POOOZI NA MY SHEMJIYAKE

HUYU NI BABA MWENYE NYUMBA ANAITWA HON DANSON D KAIJAGE ANAPATIKANA DODOMA TANZANIA.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
WENYE SHUGHULI YAO SASAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! WANACHEEEKAAAAAAA....
NDANI YA UKUMBI WA CHIKAGO BEACH BWANA JACKSON KALUMUNA AKIWA NA USO WA FURAHA BAADA YA KUPATA UHAKIKAKA KUJIPATATIA JIKO HADI RAHAA... HUYU MDOGO WA MWISHO WA MLIKI WA MTANDAO HUU , BWANA DAN KAIJAGE.

MDAU JACKSON ANAUGA UKAPELA LEO HII


BWANA HARUSI JACKSON KALUMUNA

BIBI HARUSI MWENYEWE

SIKU YA SEND OFF YA BIBIE

HUYU NI JACKSON KALUMUNA AKIWA AMEPAMBWA NA FEDHAAAA KUTOKA KWA RAFIKI ZAKE WA KANISA LA TAG KAWE WAKATO WA BEG PART JACKSON ANATARAJIA KUPATA MWEZA WAKE JUMAPILI 28/10 MWAKA HUU.
WAPENDWA KATIKA BWANA YESU KWA SASA SAFARI YA JACKSON KALUMUNA KUACHANA NA UKAPELA INAANZIA HAPA NA SASA YUPO KATIKA KANISA LA TAG KAWE AKISUBILIA APEWE KIBARI NA MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA HILO ELINGALAMI MUNISI KUFUNGISHA NDOA YA VIJANA HAO

JACKSON KALUMUNA AKIWA ANAONYESHA ISHARA YA UPENDO KWA KUMVALISHA PETE MKE WAKE AGNESS AMBAYE KWA SASA KAACHANA NA JINA LA KIMWELI NA SASA ANATUMIA JINA LA AGNESS J KALUMUNA.

BIBI ARUSI AKIJIBU MAPIGO KWA KUMVALISHA PETE YA NDOA JACKSON KALUMUNA NA SASA AGNESS AMEKUWA MWANA FAMILIA YETU MOJA KWA MOJA KARIBU SAA 12 NA NUSU SASA TUNAELEKEA UKUMBINI KWA KULA UBWABWA NA NDIZI NA KUCHEZA NGOMA YA KIHAYA.

WAZAZI WA BIBI HARUSI KUSHOTO MWENYE TAI ZAMBARAU NI BABA WA BIBI ARUSI NA KULIA NI MAMA WA BIBI HARUSI KUTOKA KIGAMBONI.

HAWA NI NDUGU WA BWANA HARUSI WAKIWA WAMETOKEA DSM, DOM NA BUKOBA KWA LENGO LA KUAKIKISHA NDOGO WAO JACKSON KALUMUNA ANAPATA MWENZA WAKE

WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA BAADA YA KUFUNGA NDOA HAPA KILA MMOJA AKIWA ANAPOKEA PONGEZI KUTOKA KWA WAUMINI WA KANISA LA TAG KAWE JIJINI DSM DUUUUU JACKSON NA AGNESS HONGERA SANA VITA MMEISHINDA
WAZAZI WA JAKSON KALUMUNA WAKIWA MAKINI NDANI YA IBADA ILINAYOSUBIRIWA KUFUNGWA PUNDE NA MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA LA TAG KAWE KULIA NI MAMA YAKE MZAZI NA JACKSON KALUMUNA NA KUSHITO NI BABA YAKE MZAZI JACKSON KALUMUNA WAMEPENDEZA HAWAJAPENDEZA WACHA WE.

MAMA MZAZI WA MMLIKI WA MTANDAO HUU BI JUDITH, AKIWA NA MKE WA WA MLIKI WA MTANDAO HUU CATHERINE
NANI KAMA MAMA........ HAPA NI BWANA DAN KAIJAGE AKIWA NA MAMA YAKE MZAZI

KAMA ZAMAAAANI WAKATI ULEEEEEEEE..... KILA SIKU MAHABA YANAONGEZEKA.... 

Friday, October 26, 2012

WANAOTUHUMIWA KUMUUA BARLOW WATAJWA



Majina hayo yametajwa na Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Said Mwema amesema kuwa simu iliyoporwa ya mwanamama ambaye alikuwa akisindikizwa nyumbani na marehemu ndiyo imesaidia kukamilisha upelelezi huo na wahusika kukamatwa.

Waliotajwa kuhusika na hayo mauaji ni Muganyizi Michael Peter (36) ambaye ametajwa kwamba ndiye aliyemuua Barlow, Chacha Waitare Mwita (50), Magige Mwita Marwa (48),  Buganzi Edward Kusuta pamoja na Bhoke Marwa Mwita (42) ambao wote wamekatwa wakiwa Dar es Saalam walipokimbilia baada ya mauaji.

KARIBU KATIKA MTANDAO HUU MPYA WA KIHABARI ZAIDI